Dig.do provides summary information about websites
Discover the most popular sites
Search domain or keyword:

Tue Apr 24 15:17:02 2018

Information about: mshumba.org

Screenshot: (enlarge)
Mshumba screenshot

Mshumba information:

TitleMchungaji Mchungaji Mushumba, Philbert Janes (view sites with similar title)
Description Karibuni! Mimi nina amini kwamba matatizo ni sehemu ya maisha, na kuwepo kwa matatizo sio mwisho wa maisha bali tunapaswa kutambua uwepo wa matatizo hayo na kuyakubali ili tukabiliane nayo. Lengo la huduma hii ni kuisaidia jamii au mtu anayeumia au...
KeywordsMushumba, Philbert Janes, maombi, mwinjilisti, mchungaji, mwalimu wa neno la Mungu, pastor, dar-es-salaam, tanzania, injili, mafundisho, maombi, Yesu, miujiza http://www.mshamba.org
Address http://www.mshumba.org Add this site to your favorite list


Mshumba Summary

mchungaji mchungaji mushumba, philbert janes. Karibuni! Mimi nina amini kwamba matatizo ni sehemu ya maisha, na kuwepo kwa matatizo sio mwisho wa maisha bali tunapaswa kutambua uwepo wa matatizo hayo na kuyakubali ili tukabiliane nayo.
Lengo la huduma hii ni kuisaidia jamii au mtu anayeumia au aliyeumizwa, asilione tatizo alilonalo kuwa ni kubwa kuliko uwezo wa Mungu aokoaye bali ayaone matatizo ni sehemu ya changamoto katika maisha na Mungu aliyemuumba ni dawa ya matatizo yote. Katika kuona matatizo katika mtazamo huo ni rahisi kupata njia za kukabiliana na changamoto hizo.
Mshauri Mch. philbert janes mushumba, ni msomi mwenye shahada ya teolojia toka chuo kikuu Makumira, stashahada ya uzamili toka chuo cha ustawi wa jamii Dar-es salaam na shahada ya Uzamili toka chuo kikuu Huria tanzania Dar es Salaam na sasa anasoma shahada ya uzamivu ya ustawi wa Jamii.
Huduma hii inafanywa kwa ushirikiano na wataalamu wenzangu wa ustawi wa Jamii na saikologia. Tunatoa huduma za Kiroho, ushauri kwa wanandoa, ...Popularity Rank of mshumba.org
Alexa Rank Alexa Rank Date
622278 2013-04-01
774382 2013-03-15

Access traffic rank of mshumba.org (site position)

Server IP of mshumba.org: 174.122.133.3 (hosted by THEPLANET.COM INTERNET SERVICES)
Domain extension: .org (list top sites in .org (Non-Profit Organization))

19 images found on mshumba.org:


Links found on Mshumba homepage:

 1. Pastor Mushumba
 2. Ushauri nini?
 3. Mshauri humsaidiaje mtu aliyena tatizo?
 4. Ushauri hufanyika kwa muda gani?
 5. Ushauri kwa mtu binafsi
 6. Ushauri kwa watoto
 7. Ushauri kwa Vijana (Adolescents/Teens)
 8. Ushauri kwa Mtu mzima
 9. Ushauri kwa wanandoa na ndoa
 10. Ushauri kwa Familia
 11. Ushauri kwa waathirika wa madawa ya kulevya na Ulevi
 12. Ushauri juu hisia za Woga, wasiwasi na hasira
 13. Ushauri juu ya Msongo wa Mawazo
 14. Tathimini ya Kisaikolojia
 15. Tathimini ya Tabia
 16. Tathimini ya Elimu
 17. Fahamu Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo
 18. Unapataje Kulisikia Neno?
 19. Mtoto Wako Ni Mwalimu Wako!
 20. Baraka Katika Neno La Mungu
 21. Hekima ya Mfinyanzi
 22. Maombi na Uponyaji
 23. Mafundisho ya Neno la Mungu
 24. Mafundisho ya Kuponya Jamii
 25. Kuponya jamii
 26. Ratiba
 27. Picha


site visit date: 2013-03-16 10:38:10
mshumba.org site information


| dig.do - home | list world top sites | top sites by category | top sites by country | blog | stats | terms of use | contact |